VIDEO: Watumishi wa serikali matatani kwa kuiba dawa kwenye bohari ya halmashauri


Katibu tawala mkoa wa morogoro mhandisi emmanuel kalobelo amemuagiza mkurugenzi wa halimashauri ya wilaya ya morogoro Bi. Rehema Bwasi kuwachukulia hatua kali baadhi ya watumishi wa serikali ambao wamebainika kuiba dawa za binadamu katika baadhi ya bohari za dawa za halmashauri hiyo, kufutia kuwepo kwa taarifa kuwa watumishi hao wamekuwa na tabia za wizi wa dawa hizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE