Watu 7 wauawa akiwemo mshambuliaji katika shambulizi la silaha lililotokea Milwaukee Marekani.
Watu 7 waripotiwwa kufariki akiwamo mshambuliaji katika shambulizi lililotekelezwa Milwaukee katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani.
Rais wa Marekani Donald Trump alifahamisha kwamba watu watano wameuawa katika shambulizi hilo katika mkutano na wanahabari kuhusu virusi vya corona.
Mkutano kati ya rais Trump na wanahabari umefanyika ikulu White House ambapo pia amezungumza kuhusu janga la virusi vya corona.
Vyombo vya habari kwa upande wake nchini Marekani vimefahamisha kuwa watu 7 akiwemo mhalifu aliendesha shambulizi hilo ndio waliofariki katika shambulizi hilo.
Trump ametoa mkono wa pole kwa familia za wahanga wa shambulizi hilo.
Hakuna taarifa zaidi ambazo zimetolewa kuhusu mshambuliaji na sababu zilizompelekea kuendesha shambulizi hilo.