Idadi ya watu wanaotafuta hifadhi nchini Ujerumani kutokana na vita ama mateso katika nchi zao iliongezeka kupita milioni 1.8 mwishoni mwa mwaka jana kulingana na takwimu rasmi zilizotolewa leo.
Idara ya takwimu ya serikali kuu (Destatis) imesema kuwa idadi hiyo iliongezeka kwa kiwango cha chini cha kila mwaka kutoka asilimia 3 mnamo mwaka 2012. Idadi hiyo inajumuisha raia wa kigeni ambao waliokuja nchini Ujerumani kwasababu za kisheria, kisiasa ama kibinadamu.
Mnamo Desemba 31, takriban watu 266000 miongoni mwa waomba hifadhi hao walikuwa bado wanasubiri uamuzi wa mwisho wa maombi yao ya kutafuta hifadhi.Idara hiyo ya (Destatis) imeripoti kuwa kiwango hicho ni asilimia 13 chini ya kile kilichoshuhudiwa wakati sawa na huo mwaka jana.
Hii inahusishwa na ufanisi uliopatikana katika kazi iliyoko pamoja na na kupunguzwa kwa ujumla kwa kiwango cha maombi ya kutafuta hifadhi.