VIDEO: ACT Wazalendo wamkana Membe 'bora mzee wa Ubwabwa'

Mgombea urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa amesikitishwa na suala la mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Bernard Membe kusema ataendelea kuwania urais kinyume na msimamo wa chama.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi