ADS

Apr 30, 2021

Breaking News: Daniel Chongolo ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

  Muungwana Blog 2       Apr 30, 2021

 

Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa chama akichukua nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Dkt. Bashiru Ally.

Chongolo ambaye amewahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Longido na Kinondoni anachukua nafasi hiyo baada ya kuwa wazi kwa miezi takribani mitatu baada ya Bashiru Ally kuteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi Februari 26,2021.

logoblog

Thanks for reading Breaking News: Daniel Chongolo ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment