Breaking News: Shaka Hamdu Shaka ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi


Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake maalumu kilichoketi leo baada ya Mkutano Mkuu wa Chama hicho chini ya Mwenyekiti Samia Suluhu imeridhia mapendekezo yaliyotolewa na Mwenyekiti (Rais Samia) katika Sekretarieti Kuu kuwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM- Taifa akichukua nafasi ya Humphrey Polepole.

Post a Comment

0 Comments