Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Jijini Dodoma
byMuungwana Blog 2-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU