Halina mada


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linamshikilia Dadi Kombo Hamad, miaka 38 mkazi wa Uzunguni Chamboni, shehia ya Chamboni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba kwa tuhuma za kupatikana na noti bandia 327 zenye thamani ya shilingi za Kitanzania 10,000/ kila moja ambapo thamani ya jumla ya noti hizo ni milioni tatu laki mbili na elfu sabini (3,270,00O/).




Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi