Vituo vya kupiga kura vimefunguliwa Marekani

 


Vituo vya kupiga kura vimefunguliwa nchini Marekani, ambako mamilioni ya Wamarekani wanapiga kura kwenye uchaguzi wa Katikati ya muhula.

Wawakilishi 435 wanachaguliwa kwenye uchaguzi huu, pamoja na Maseneta 35 kati ya 100.   

Vyama vya siasa Republican na Democratic vinamenyana vikali kwenye uchaguzi huo.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi