Nyumbani Shilole awachana wanaume marioo byUnknown -4/02/2017 04:00:00 PM 0 "Mwanaume kuwa Mario ni kumtia aibu mama yako mzazi, na dada yako. Nawashauri vijana marioo mkafanye kazi mpate pesa, hata kushona viatu ni kazi mkafanye kazi siyo kutegemea wanawake tu" Shilole Facebook Twitter