Watu wanne wameripotiwa kujeruhiwa katika makalinao ya silaha yaliotokea katika eneo la Mecerata nchini Italia.
Kwa mujibu wa taarifa zizlitolewa na vyombo vya habari nchini humo watu wote waliojeruhiwa na raia wanaoonekana kutoka barani Afrika.
Polisi katika eneo la tukio imefahamisha kuwa mtuhumiwa wa tukio hilo amekamatwa muda mchache baada ya kuendesha tukio hilo.