VIDOE: "Huyu Mwenyekiti wa CCM ni moto, anapaswa kuwa mfano"


Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, Dk. Edmund Mndolwa amefunguka kuhusiana na tukio la mkutano mkuu wa chama hicho uliandaliwa na kufanyika kata ya Tabata na kusema kuwa ni kitu cha historia na kipaswa kuigwa na kila kiongozi kwani ndio muendelezo mzuri wa kuendelea kukiimarisha chama hicho, huku akimpongeza Mwanyekiti wa CCM kata hiyo kuwa ni moto na anafaa kuigwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi