Juan Guaido, msemaji wa bunge aliejitangaza kuwa rais wa mpito nchini Venezuela arejea nchini
Mpinzani na msemaji wa bunge la Venezuela aliejiyangaza kuwa rais wa mpito nchini amerejea nyumbani baada ya kukaa nje ya nchi kwa muda wa siku 11.
Juan Guaido aliondoka nchini Venezuela siku moja kabla ya jaribio la kuingiza kile ambacho kilijwa kuwa msaada kutoka Marekani kupitia nchini Colombia.
Marekani ilitangaza kuwa msaada huo ni kwa ajili ya raia wa Venezuela waliokumbwa na madhila katika maisha.
Baada ya ziara yake nchini Colombia Juan Guaido alitembelea nchini Brazil, Argentina, Paraguay na Ekwado ambapo viongozi wa mataifa hayo walimuunga mkono.
Muendesha mashtaka wa Venezuela Tarek William Saab aliomba mahakama imuwekee marufuku Juan Guaido kuasafiri na kutaisha mali yazke .
Uturuki, Mexico, Urusi, Iran, Cuba, China na Bolivia ndio mataifa mabyo yanamuunga mkono rais Nicolas Maduro kwa kufahmisha kuwa Maduro ndie aliechaguliwa chini ya msingi ya demokrasia.