TCRA watoa gharama za kusafirisha vifurushi na barua


Taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu gharama za leseni kwa wasafirishaji wa vifurushi, vipeto na nyaraka.

Hapo Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Atashasta Nditiye alipiga marufuku magari yote ya abiria kusafirisha vifurushi vya aina yoyote ile, pasi na kuwa kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA). Katika kudhibiti vitendo hivyo, waziri huyo ameagiza SUMATRA kuendesha operesheni kubaini wanaokaidi.

Mpya zaidi Nzee zaidi