Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Mh.Seleman Jafo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma ambapo ameonyeshwa kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi huo.
Aidha pia Waziri Jafo amemuagiza Mkuu wa Mkoa huo Dk.Binilith Mahenge kupeleka tume ya uchunguzi katika Wilaya ya Chemba kuchunguza hali ya kifedha inayoendelea wilayani humo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
