Mara baada ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma Gillles Muroto kutangaza kukamata gari aina ya Roli lililokuwa limebeba mzigo wa wizi, Ezekiely Solomon Kibiki ambaye amejitambulisha kama dalali aliyehusika kupakia mzigo katika Roli hilo ameeleza namna alivyotapeliwa na baadae kuibiwa mzigo huo wa Mahindi ambao ulikuwa na magunia 660 ya kilo 50 ambazo ni sawa na tani 33.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
