Rais wa Marekani Donald Trump amesema ulimwengu unapaswa kufuata nyayo za Marekani kiuchumi na unabidi uwakatae wale wanaobashiri kwamba ulimwengu unakaribia kufikia kiwango cha mwisho.
Rais huyo wa Marekani amezungumza hayo katika hotuba yake aliyoitowa leo mbele ya jukwaa la uchumi la dunia mjini Davos.
Trump ametowa hotuba yake hiyo mwanzoni mwa mkutano wa kila mwaka wa kilele unaofanyika katika mji wa kitalii wa Davos,mkutano ambao mwaka huu umejikita juu ya mabadiliko ya tabia nchi na uchukuaji dhamana kwa ushirikiano.