Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la Wagonjwa wapya 29 wa corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 134, wagonjwa wote wapya ni Raia wa TZ (wagonjwa 16 wa Unguja na 13 Pemba) kwa ongezeko hili sasa idadi ya maambukizi ya jumla Tanzania nzima imefikia 509 kutoka 480.