Mashabiki wa soka duniani wanatarajia kushuhudia pambano kubwa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Villarreal ya Hispania itakapokuwa mwenyeji wa bingwa mtetezi wa taji la ligi ya mabingwa ulaya Paris Saint-Germain (PSG) katika dimba la Estadio de la Cerámica. Mchezo huo wa hatua ya ligi utaanza saa 23:00 usiku, ukiwakutanisha wenyeji wanaotafuta kurejea kwenye ushindani na mabingwa wa Ulaya wanaotaka kuendeleza ubabe wao.
Villarreal inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kiu ya kurekebisha matokeo yake baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa La Liga. Kikosi hicho kitahitaji kutumia vizuri faida ya kucheza nyumbani, huku wachezaji kama Gerard Moreno, Georges Mikautadze na Alberto Moleiro wakitarajiwa kuwa na jukumu kubwa katika kutengeneza nafasi na kuisumbua ngome ya PSG.
Kwa upande wa PSG, kikosi cha kocha Luis Enrique kinaingia katika mchezo huu kikiwa na kiwango kizuri baada ya kuichapa Le Havre mabao 5-1 katika Ligue 1. Mabingwa hao wa Ulaya wameonyesha makali makubwa katika safu ya ushambuliaji, huku wachezaji kama Ousmane Dembele, Desire Doue, Vitinha na Achraf Hakimi wakiwa miongoni mwa majina yanayoweza kuleta tofauti katika pambano hili.
Ukiangalia mwenendo wa timu hizi katika Champions League, PSG imekuwa na mwanzo mzuri zaidi ikiwa imeshinda michezo yake yote mitatu ya awali na kukusanya pointi tisa. Ushindi wao wa mabao 4-2 dhidi ya Barcelona katika mchezo uliopita unaonyesha uwezo wao wa kushindana na timu kubwa. Villarreal, kwa upande mwingine, ina pointi tatu na inahitaji matokeo mazuri ili kuboresha nafasi yake katika msimamo.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Jambo lingine linaloongeza mvuto wa pambano hili ni kwamba Villarreal na PSG hazijawahi kukutana katika mashindano rasmi ya UEFA. Hivyo, huu utakuwa mchezo wao wa kwanza wa kihistoria katika soka la Ulaya. Villarreal itahitaji kuwa makini katika ulinzi ili kuzuia kasi ya PSG.
Sasa ni wakati wa burudani nyingine ya kiwango cha juu! Je, Villarreal itaitumia vyema dimba lake la nyumbani na kuwapa mashabiki wake furaha au PSG itaendeleza wimbi lake la ushindi katika Champions League? Usikose kufuatilia mchezo huu kupitia Meridianbet, ambako machaguo mbalimbali yanakusubiri. Jisajili leo kwa kupiga *149*10#, chagua machaguo yako na ufurahie msisimko wa ushindi wa soka la Ulaya. Cheza sasa!
