F Kamera za usalama zaanza kuwekwa Barabarani | Muungwana BLOG

Kamera za usalama zaanza kuwekwa Barabarani

Mafundi wakiweka Security Camera katika sehemu mbali mbali za Mji wa Unguja,Camera hizo zitaweza kufanikisha kuonekana kwa matukio mbali mbali ya Barabarani ikiwemo ajali pamoja na matukio us Uhalifu.