F Matukio katika Picha: Maalim Seif akikabidhiwa kadi na ACT Wazalendo | Muungwana BLOG

Matukio katika Picha: Maalim Seif akikabidhiwa kadi na ACT Wazalendo


Leo Machi 19, 2019 Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CUF, amekabidhiwa kadi namba moja ya Chama cha ACT Wazalendo. Chini picha za tukio hilo.