F VIDEO: Waziri Mkuu awataka mawaziri wote kuhudhuria vikao vya kamati | Muungwana BLOG

VIDEO: Waziri Mkuu awataka mawaziri wote kuhudhuria vikao vya kamati


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa amesema Serikali imekwisha toa Maelekezo kwa Mawaziri wote kuhudhuria vikao vya kamati za Bunge kadri kamati hizo zinavyowahitaji.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE.......