Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, KRC Genk na Mamelodi Sundowns Anele Ngcongca ,33, amefariki dunia leo kwa ajali ya gari nchini Afrika Kusini
Taarifa zinaeleza kuwa Anele amepata ajali akiwa katika BMW ambayo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye yupo mahututi.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>