Nov 25, 2021

Beka Flavour apata ajali

  Muungwana Blog       Nov 25, 2021

 


Kupitia page yake ya Instagram msanii Beka Flavour ameweka taarifa za kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo wakati anatoka studio kurekodi.


Beka Flavour ameshea picha ya gari alilopata nalo ajali huku akiita ajali hiyo ni ya ajabu kwa sababu hajui ilikuaje na imetokea ghafla.


"Wakati natoka studio usiku huu nimepata kaajali cha ajabu sana, yaani hata sijui ilikuaje ghafla tu nimejikuta hapo, kikubwa nimetoka mzima kabisa Mungu mkubwa sana" ameandika Beka Flavour

logoblog

Thanks for reading Beka Flavour apata ajali

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment